LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 12, 2024

RAIS SAMIA ATUNUKIWA NISHANI YA VIONGOZI WENYE SIFA ZA PEKEE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivalishwa Nishani ya Mapinduzi ya Viongozi wenye sifa za Kipekee (Order of Praise) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu ya Zanzibar tarehe 11 Januari, 2024. Rais Samia ametunukiwa Nishani hiyo katika kuadhimisha miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. 


 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages