LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 13, 2024

NAIBU KATIBU MKUU WA CCM MACHA ASHIRIKI MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR

 


Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Ndugu Anamringi Macha na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Ndugu Mohammed Said Mohammed (Dimwa), wakiwa katika Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, katika Uwanja wa Amani, Zanzibar, leo Ijumaa, Januari 12, 2024.
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages