LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 13, 2024

MWENYEKITI WA CCM RIAS DK. SAMIA AFUNGUA MAFUNZO YA WAJUMBE WA HALMASHAURI KUU TAIFA (NEC) YA CCM, MJINI ZANZIBAR, LEO

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akifungua Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mjini Unguja, Zanzibae, leo Januari 13, 2024. Mafunzo hayo ya siku mbili yanalenga uimarisha Chama na kuendelea kuwajengea uwezo Wajumbe hao.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara anali Mstaafu Abdulrahman Kinana akimaribisha Mwenyeiti wa Chama, kufungua Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mjini Unguja, Zanzibae, leo Januari 13, 2024. Mafunzo hayo ya siku mbili yanalenga uimarisha Chama na kuendelea kuwajengea uwezo Wajumbe ha.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara, Anamringi Macha aitoa utangulizi kabla ya ufunguzi wa Semina ya Mafunzo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Mjini Unguja, Zanzibae, leo Januari 13, 2024. Mafunzo hayo ya siku mbili yanalenga uimarisha Chama na kuendelea kuwajengea uwezo Wajumbe hao 

WAJUMBE WAKIWA KWENYE SEMINA HIYO👇 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages