LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 10, 2024

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA RWANDA , OFISI NDOGO YA MAKAO MAUU YA CCM, LUMUMBA, DAR ES SALAAM, LEO

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Rwanda hapa nchini Balozi. Hererimana Fatou katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo,Januari 10, 2024..

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akizungumza na  Balozi wa Rwanda hapa nchini Balozi. Hererimana Fatou katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo,Januari 10, 2024..Wengine ni Maofisa wa CCM na wa Ubalozi wa Rwanda.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana akiwa na  Balozi wa Rwanda hapa nchini Balozi. Hererimana Fatou baada ya mazungumzo yao, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam, leo,Januari 10, 2024.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages