LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jan 10, 2024

SHAMRASHAMRA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR, RAIS DK. SAMIA AFUNGUA HOSPITALI YA RUFANI YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar, leo Januari 10, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiungwa mkono na viongozi mbalimbali kukata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi ya Lumumba, Zanzibar leo. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubiz katika ufunguzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi ya Lumumba, Zanzibar leo

Wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akimwagilia mche maalum baada ya kufungua Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi ya Lumumba, Zanzibar leo.





 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages