LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 28, 2023

RAIS DK. SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UTALII NA MASOKO YA CHUO KIKUU CHA SUZA, JIJINI ZANZIBAR, LEO

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dk. Hussein Ali Mwinyi, akimtunuku Shahada ya Heshima ya Utalii na Msoko ya Chuo hicho, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, katika Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, leo Disemba 28, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi alipowasili katika Ofisi za Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) kwa ajili Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, leo Disemba 28, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akiwa na Mwenyeji wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dk. Hussein Ali Mwinyi kabla ya sherehe za Mahafali hayo kuanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan akishiriki na Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) katika maandamano ya Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo katika Kampasi ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Dk. Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na wahitimu, katika Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, leo Disemba 28, 2023.
 Wahitimu wakiwa kwenye Mahafali ya 19 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika Kampasi ya Tunguu, Mkoa wa Kusini Unguja, leo Disemba 28, 2023.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages