LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 28, 2023

MNEC SULTAN AFUNGA MWAKA KWA KUFANYA MAKUBWA CCM


 Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Sultan Saleh Seif ameahidi kutoa sh. mil. 48.5 kusaidia ujenzi wa ofisi za CCM katika Kata 97 za mkoa huo.


Ametoa ahadi hiyo wakati wa ziara ya kikazi ya kuimarisha uhai wa chama katika Wilaya ya Nkasi, iliyoanza Desemba 13 hadi 29, 2023.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages