LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 11, 2023

MAKINDA AMWELEZEA JOKATE, AIPONGEZA UWT KUWAJALI VIJANA WA KIJIDITALI

Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi, Spika mstaafu Anne Makinda ameupongeza uongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), kwa kuwashirikisha vijana wa kidijitali katika mafunzo na mikutano mbalimbali wanayofanya.

Ametoa pongezi hizo wakati wa ufunguzi wa semina ya mafunzo ya kuwajengea uwezo watendaji wa UWT kutoka mikoa mbalimbali iliyofanyika Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma Desemba 11, 2023.

Baadhi ya vijana walioalikwa kwenye semina hiyo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages