Katibu Mkuu wa UWT, Jokate Mwegelo akiwahamasisha washiriki alipokuwa akizungumza maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Mwenyekiti wa UWT, Chatanda kuyafungua mafunzo hayo.
Chatanda ametoa rai kwa watendaji hao kuyatumia mafunzo hayo kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu yao ya kila siku na wahakikishe wanajiandaa kushinda uchaguzi ujao wa serikali za mitaa na kuongeza idadi ya wanachama watakao mpatia ushindi mkubwa Rais Samia Suluhu Hassan katika uchaguzi mkuu 2025.
Mwenyekiti wa UWT Mkoa wa Dodoma, Neema Majule akitoa salamu za mkoa huo pamojana kuwakaribisha watendaji hao mkoani humo.
Washiriki wa semina hiyo wakiwa na furaha wakati wa kutambulishwa wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo.Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Singida, Martha Mlata akiongoza kuimba wimbo wa hamasa.
Ni hamasa kwa kwenda mbele kwa kila kundi la washiriki kutoa kibwagizo cha mkoa wanaotoka.
0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇