
Kamisaa wa Sensa ya Watu na Makazi 2022, Spika Mstaafu Anne Makinda akifurahia tuzo maalumu aliyokabidhiwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT-CCM), Mary Chatanda (kushoto) kwa kusimamia vizuri sensa hiyo. Tukio hilo limefanyika wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watendaji na makada wa jumuiya hiyo kwenye Ukumbi wa NEC (White House), jijini Dodoma Desemba 11,2023. Kulia ni Katibu Mkuu wa UWT, Jokate Mwegelo.
Makinda akikabidhiwa tuzo hiyo na Chatanda
Chatanda akimkabidhi tuzo maalumu Mtakwimu Mkuu wa Serikali, Dkt. Albina Chuwa kwa kutambua utendaji na machango wake.Dkt Chuwa akifurahia tuzo baada ya kukabidhiwa.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
-0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇