LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Dec 9, 2023

MAJALIWA, BITEKO WATETA SIKU YA UHURU, DIRA 2050

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (kulia) akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakati wa maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika Bara na uzinduzi wa ukusanyaji wa maoni ya maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa ya 2050 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Desemba 9, 2023.





 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages