Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Komredi Abdulrahman Kinana (kushoto) akiteta jambo na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko wakati wa maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika Bara na uzinduzi wa ukusanyaji wa maoni ya maandalizi ya Dira ya Taifa ya 2050 uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma Desemba 9, 2023.
Your Ad Spot
Dec 9, 2023
Home
featured
habari picha
KINANA AMFURAHISHA DKT BITEKO WALIPOTETA SIKU YA UHURU, DIRA YA TAIFA 2050
KINANA AMFURAHISHA DKT BITEKO WALIPOTETA SIKU YA UHURU, DIRA YA TAIFA 2050
Tags
featured#
habari picha#
Share This
About CCM Blog Author
habari picha
Tags
featured,
habari picha
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇