Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, akimsikiliza Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu, alipotembelea baada la Maonyesho la Hazina, kwenye Maadhimisho ya miaka 62 ya Uhuru wa Tanzania Bara, mjini Dodoma, leo Disemba 9, 2023. Kulia kwa Rais ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu).
Your Ad Spot
Dec 9, 2023
Home
featured
Kitaifa
RAIS DK. SAMIA ATEMBELEA BANDA LA MAONYESHO LA HAZINA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU, LEO MJINI DODOMA
RAIS DK. SAMIA ATEMBELEA BANDA LA MAONYESHO LA HAZINA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU, LEO MJINI DODOMA
Tags
featured#
Kitaifa#
Share This
About CCM Blog
Kitaifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇