Rais wa Romania Klaus Iohannis ambaye yupo nchini kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku nne, akiwasili Zanzibar, leo.
Rais wa Romania Klaus Iohannis akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi- Zanzibar Jamal Kassim Ali baada ya kuwasili Zanzibar.
Rais wa Romania Klaus Iohannis akipokea shada la maua, baada ya kuwasili Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha Mgeni wake Rais wa Romania Klaus Iohannis baada ya
kuwasili Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa katika ziara ya siku nne nchini.Rais wa Romania Klaus Iohannis akisaini kitabu cha wageni.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi,
akizungumza na mgeni wake Rais wa Romania Klaus Iohannis, Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Your Ad Spot
Nov 18, 2023
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot


No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇