Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 (Regular) kwa Cheo cha Luteni Usu katika sherehe iliyofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani Arusha, leo tarehe 18 Novemba 2023. Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-Shahada ya Sayansi ya Kijeshi na Kundi la 70/22 Refu (Regular) wakivalishana vyeo, baada ya kutunukiwa Kamisheni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi MkuuMhe. Samia Suluhu Hassan, katika sherehe iliyofanyika Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi Monduli (Tanzania Millitary Academy - TMA) Mkoani Arusha, leo tarehe 18 Novemba 2023.



No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇