Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akikagua mabanda ya biashara vilivyojengwa kuzunguka Ofisi ya CCM Wilaya ya Mpanda kwa ajili ya kukodisha wakati wa ziara ya kuiamarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchiv na kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM mkoani Katavi Oktoba 6, 2023.
Akiangalia ngoma za utamaduni
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇