LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2023

WANANCHI WAFURIKA MKUTANO WA CHONGOLO KATAVI

Wananchi wakiwa kwenye mkutano wa hadhara unaohutubiwa na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),  Komredi Daniel Chongolo kwenye Uwanja wa Kashato Mjini Mpanda, mkoani Katavi Oktoba 7,2023

Komredi Chongolo amefanya ziara ya siku Tano mkoani humo ya kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama hicho.







 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages