LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Oct 7, 2023

CHONGOLO AITAKA SERIKALI KUTOA SH. BIL. 5 KUKAMILISHA UJENZI HOSPITALI YA RUFAA KATAVI

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akitemblea kuona maendeleo ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kati wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM kwa mwaka 2020/2025 

Komredi Chongolo ameahidi kwenda  kufanya msukumo kwa serikali kuhakikisha wanapeleka haraka sh. bil. 5 za kukamilisha ujenzi wa Hospitali HIYO.
Chongolo akisalimiana na watumishi wa hospitali hiyo.
Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo, Dkt. Serafini Patrice akitoa maelezo kwa Komredi Chongolo kuhusu maendeleo ya ujenzi wa hospitali hiyo.
Mtekinolojia Mionzi wa Hospitali hiyo, Martine Misalaba akitoa maelezo kwa Komredi Chongolo namna wanavyotoa huduma ya tiba kwa kutumia mionzi.
Mtekinolojia Mionzi wa Hospitali hiyo, Martine Misalaba akitoa maelezo kwa Komredi Chongolo kuhusu Utra Sound inavyosaidia tiba katika hospitali hiyo.


Komredi Chongolo akizungumza na viongozi wa hospitali hiyo na kuahidi kuisukuma serikali kutoa haraka sh. bi. 5 za kukamilisha ujenzi wa hospitali hiyo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA



 

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages