Oct 3, 2023

CHONGOLO AKAGUA HOSPITALI TEULE YA WILAYA IKO LA TANGANYIKA

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akioneshwa ramani ya Hospitali Teule ya Wilaya ya Tanganyika Ikola, mkiani Katavi alipofika kukagua mradi huo ambao imekamilika lakini hata hivyo ina upungufu mkubwa wa watumishi.

Komredi Chongolo ambaye yupo katika ziara ya kikazi ya siku 5 mkiani Katavi, ameiagiza TAMISEMI kupeleka haraka watumishi watumishi katika Hospitali hiyo.



Mbunge wa Jimbo la MpandaKaskazini, Kakoso akitoa changamoto za Jimbo Hilo mbele ya Komredi Chongolo.



Chongolo akihutubia baada ya kukagua Hospitali  hiyo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages