Harakati za Mwaikenda zinakuletea baadhi ya mambo yaliyojiri wakati wa maadhimisho ya mwaka mmoja wa Kanisa la Karmeli Assemblies of God (KAG) katika Kata ya Chifutuka Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma, ambapo mambo yalianza kwa burudani za kila aina ikiwemo ngoma hii ya kabila la wasukuma.
Askofu Mkuu wa kanisa la Karmeli, Dkt. Evance Chande ametoa pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa aliyoifanya kuboresha huduma za afya hadi vijijini.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇