LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Jul 20, 2025

KILIMO CHAZIDI KUPAA ARUSHA

 

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai 20, 2025, kuhusu mafanikio ya mkoa huo katika miaka minne ya Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Rodney Thadeusi akitoa neno la kumkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kihongosi kuzungumza na waandishi wa habari.
Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages