Sep 29, 2023

SIKILIZA UJUMBE MARIDHAWA KUTOKA KWA KOMREDI CHONGOLO

 Tunawaletea ujumbe maridhawa kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Komredi Daniel Chongolo alioutoa hivi karibuni katika mkutano wa hadhara wakati wa ziara zake nchini za kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi pamoja na kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama hicho kwa kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo.



No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Pages