LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2023

RWEIKIZA AWASILISHA BUNGENI UCHAMBUZI WA SHERIA NDOGO+video

     


Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Sheria Ndogo, Jasson Rweikiza akiwasilisha bungeni Dodoma Septemba 5, 2023, uchambuzi wa sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni kwenye mkutano wa kumi na mkutano wa kumi na moja  pamoja na uchambuzi wa taarifa za utekelezaji wa maazimio ya bunge  kuhusu sheria ndogo zilizowasilishwa bungeni  kwenye mkutano wa nane na mkutano wa tisa.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages