LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Sep 5, 2023

MAMBO YA BUNGENI LEO

Wabunge wakiwa viwanja vya Bunge tayari kuwahi kuingia bungeni Dodoma Septemba 5, 2023.
Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi.

Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile.

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda.
Mbunge wa Nkasi Kaskazini, Aida Kenani
Mbunge wa Viti Maalumu, JaneJerry Ntate.
Mbunge wa Mbinga Vijijini, Benaya Kapinga.
Mbunge wa Viti Maalumu, Rose
Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga.
Mbunge wa Ngorongoro, Emanuel Ole Shangay (kushoto) na Mbunge wa Buchosa, Erick Shigongo


Mbunge wa Viti Maalumu, Regina Ndege
Mbunge wa Arumeru Magharibi, Noah Lemblis
Wabunge wa Viti Maalumu, Bupe Mwakang'ata (kushoto) na Rita Kabati.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages