Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa, amebana serikali bungeni Septemba 5, 2023 kupeleka maji ya Ziwa Viktoria katika vijiji na vitongoji vya Kata za nguvumoja, Lugubu na Itumba.
Serikali kupitia Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi imeahidi kutekeleza mradi huo
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇