Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam nchini Tanzania, Mhe. Nguyen Nam Tien, kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, leo Jumanne, Septemba 12, 2023, ambapo balozi huyo alifika ofisini hapo kwa ajili ya kumuaga Ndugu Chongolo, baada ya kumaliza muda wa kuiwakilisha nchi yake hapa Tanzania.
Your Ad Spot
Sep 12, 2023
CHONGOLO AAGANA NA BALOZI WA VIETNAM
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndugu Daniel Godfrey Chongolo amekutana na Balozi wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Viet Nam nchini Tanzania, Mhe. Nguyen Nam Tien, kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba, jijini Dar Es Salaam, leo Jumanne, Septemba 12, 2023, ambapo balozi huyo alifika ofisini hapo kwa ajili ya kumuaga Ndugu Chongolo, baada ya kumaliza muda wa kuiwakilisha nchi yake hapa Tanzania.
Tags
featured#
Habari#
Share This
About Richard Mwaikenda
Habari
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post Top Ad
Your Ad Spot

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇