LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 30, 2023

TOUFIQ AIHOJI SERIKALI INAT0A KAULI GANI KWA WANA0RUSHA MITANDAONI PICHA ZA WALIOFANYIWA UKATILI?+video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Fatma Toufiq amehoji bungeni dodoma kwamba serikali inatoa kauli kwa wanaorusha mitandaoni picha za waliofanyiwa ukatili? Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalumu, Dkt Doroth Gwajimaamesema kwanzia sasa watu wote wanaofanya vitendo hivyo watachukuliwa hatua kali za kisheria.


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

MHARIRI

BLOG YA TAIFA YA CCM

0754264203


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages