LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 30, 2023

FYANDOMO AITAKA SERIKALI KUUNGA MKONO UJENZI WA VITUO VYA AFYA BUSOKELO+video

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Mbeya, Suma Fyandomo ameitaka serikali kumalizia ujenzi wa maboma ya vituo afya vilivyojengwa kwa nguvu za wananchi katika Halmashauri ya Wilaya ya Busokelo , Rungwe mkoani Mbeya.

IMENDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages