LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 30, 2023

MAMBO YA BUNGENI LEO


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia Habari, Nape Nnauye (kulia) akijadiliana jambo na aliyekuwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba wakati wa Mkutano wa 12 wa Bunge , Kikao cha pili bungeni Dodoma Agosti 30,2023. Makamba ameteuliwa kujwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dar es Salaam, Mariam Kisangi akiuliza swali wakati wa kipindi cha maswali na majibu.
Mbunge wa Viti Maalumu, Mariamu Nyoka akiuliza swali bungeni.
Mbunge wa Singida Kaskazini, Ramadhan Ighondo akijdiliana jambo na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Zaytun Swai


Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga akiuliza swali bungeni 
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu akiongoza  kikao cha pili cha Bunge

Mbunge wa Viti Maalumu, Oliver Semuguruka (kushoto) akiwa na Mbunge wa Nkasi Kaskazini Aida Kenani
Mbunge wa Viti Maalumu, Regina Ndege
Mbunge wa Jimbo la Manyoni Magharibi, Yahya Masare 9kulia) akiwa na Mbunge wa Nkenge, Florent Kyombo

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages