LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 30, 2023

RAIS DK. SAMIA AFANYA MABADILIKO MADOGO BARAZA LA MAWAZIRI, AMTEUA DK. BITEKO KUWA NAIBU WAZIRI MKUU

 

Dk. Biteko

Ikulu, Dodoma, Tanzania.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri na Makatibu Wakuu.

Katika mabadiliko hayo ameanzisha nafasi ya naibu Waziri Mkuu na kuifuta Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na kuunda Wizara ya mpya mbili ambazo ni  Wizara ya Ujenzi na Wizara ya Uchukuzi.

Pia ameimarisha Wizara ya mambo ya Nje na Ushirikiano wa afrika Mashariki kwa kuongeza nafasi ya Naibu Waziri na Katibu Mkuu watakaoshughulikia masuala ya Afrika Mashariki.

Katika mabadiliko hayo Rais amemteua Naibu Waziri Mkuu, Mawaziri Wanne, Naibu Mawaziri Watano, Makatibu wakuu watatu na naibu Makatibu Wakuu pia watatu.

Vilevile amewabadilisha wizara baadhi ya Mawaziri na Makatibu Wakuu.   

Mabadiliko na Uteuzi huo, huu hapa👇

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages