LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 15, 2023

RAIS SAMIA NA WATOTO WA SHULE TEMBELA SHULE MAALUM YA YA MSINGI BUIGIRI, CHAMWINO DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasikiliza  Watoto wa Shule ya Msingi Maalum ya Buigiri iliyopo Wilayani Chamwino mara baada ya kupiga picha za kumbukumbu kwenye Sherehe za ufunguzi wa Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa la Anglikana Tanzania, Dayosisi ya Central Tanganyika, Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.

No comments:

Post a Comment

Tupia Comments👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages