LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 29, 2023

MBUNGE KASAKA AZIDI KUPAMBANIA UJENZI WA KITUO CHA AFYA IFUMBO


 Mbunge wa Lupa Chunya amehoji bungeni leo Agosti 29, 2023, kwamba ni li ni serikali itapeleka fedha kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Ifumbo ili wananchi waanze kupata huduma?

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages