LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 29, 2023

GENZABUKE AITAKA SERIKALI KUKAMILISHA HARAKA UJENZI WA KITUO CHA AFYA KIZAZI-KIBONDO+video


 Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke amehoji bungeni Agosti 29,2023, kuwa ni lini serikali itamalizia ujenzi wa Kituo cha Afya cha Kata ya Kizazi wilayani Kibondo?

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI
BLOG YA TAIFA YA CCM  
0754264203

No comments:

Post a Comment

ANDIKA MAONI (COMMENTS) HAPO👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages