LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Aug 29, 2023

MAMBO YA BUNGENI DODOMA LEO


Wabunge wakiingia bungeni Dodoma kuhudhuria mkutano wa 12 kikao cha kwanza Agosti 29,2023.


Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari,Nape Nnauye

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako (kulia) na Mbunge wa Urambo, Margareth Sitta.
Mbunge wa Kinondoni, Abbas Tarimba.
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Songwe, Juliana Shonza.
Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga akiwa na Mbunge wa Viti Maalumu, Santiel Kirumba.
Mbunge wa Mikumi,Dennis Londa
Mbunge wa Nyasa, Dkt Stelah Manyanya
Mbunge wa Lupa, Chunya, Njalu Kasaka
Mbunge wa Meatu, Leah Komanya.

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages