Katibu Mkuu wa CCM Komredi Daniel Chongolo, ameiagiza serikali kuharakisha mchakato wa uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam, Ili uanze kufanya kazi mara Moja.
Ametoa agizo hilo alipokuwa akihutubia katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika Julai 15, 2023 kwenye Uwanja wa Luanda, jijini Mbeya ambao pia umehudhuriwa na viongozi pamoja na baadhi ya wananchi kutoka mikoa jirani ya Iringa, Njombe, Songwe na Rukwa
Chongolo amesema kuwa uwekezaji wa Bandari upo kwenye Ilani ya CCM hivyo lazima utekelezwe.
No comments:
Post a Comment
MAONI (COMMENTS)👇