Mbunge wa Njombe Mjini, Deogratius Mwanyika amehoji bungeni Dodoma Mei 22, 2023 kwamba mchakato wa ujenzi wa Chuo Kikuu utaanza lini?
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akiibana serikali kuhusu ujenzi huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203

No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇