Mbunge wa Viti Maalumu, Benaedeta Mshashu ameibana serikali bungeni Dodoma Mei 22, 2023, kwamba ni lini serikali itatenga fedha za ujenzi wa hospitali ya rufaa ya Mkoa wa Kagera?
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mushashu akihoji jambo hilo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
No comments:
Post a Comment
Tupia Comments👇