LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 9, 2023

PROF. NDAKIDEMI: BAJETI YA KILIMO HAIKIDHI, IONGEZWE IWE TRILIONI 2 +video


 Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi, amsema licha ya Bajeti ya Kilimo kuongezewa fedha lakini bado haikidhi haja, bali iongezewe ifikie sh. trilioni 2 ili mambo yaende sawa.


Pamoja na mambo mengine ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa Bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2023/2024 bungeni Dodoma Mei 8, 2023.


Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Ndakidemi akichangia bajeti hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages