LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 9, 2023

KASAKA: WAKULIMA WA TUMBAKU WAPATE RUZUKU+video


 Mbunge wa Lupa, Chunya, Masache Kasaka pamoja na mambo mengine ameiomba serikali kuwapatia ruzuku wakulima wa tumbaku kama inafanya kwa mazao mengine.

Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo bungeni Dodoma Mei 9, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Kasaka akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages