LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 9, 2023

MWANYIKA: UMWAGILIAJI PEKEE UTAOKOA ZAO LA CHAI NJOMBE+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameiomba serikali kuwajengea miundombinu ya umwagiliaji kwenye mashamba ya chai Njombe ili uzalishaji uongezeke.

Pamoja na mambo mengine ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya bajeti ya Wizara ya Kilimo bungeni Dodoma Mei 9, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,Mwanyika akitoa mchango wake huo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages