LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 8, 2023

GENZABUKE: NI LINI BARABARA YA SIMBO HADI KALYA ITAJENGWA?+video


Mbunge wa Viti Maalumu, Josephine Genzabuke aihoji serikali ni lini itajenga barabara kwa kiwango cha lami kutoka Simbo hadi Kalya?

Amehoji hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 8, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akipigania jambo hilo...




 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages