LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

May 8, 2023

MBUNGE TOUFIQ APAMBANIA KUIOKOA NKUHUNGU NA MAFURIKO+video

Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma, Fatma Toufiq akiiomba serikali kufanya mpango wa kujenga miundombinu katika Kata ya Nkuhungu jijini Dodoma ambayo inaathirika mara kwa mara kwa mafuriko.

Ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Mei 8,2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Toufiq akipambania hilo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203
 

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages