LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 8, 2023

RAIS SAMIA APEWA TUZO MAALUM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepatiwa Tuzo maalum kwa ajili ya kuleta Mapinduzi katika Sekta ya Elimu nchini Tanzania.

Tuzo hiyo imetolewa na Umoja wa Maafisa Elimu wa Mikoa na Halmashauri (REDEOA) katika hafla ya kumpongeza iliyofanyika jijini Mwanza leo Aprili 7, 2023.

Tuzo hiyo maalum imepokelewa na Mhe. Angellah Kairuki kwaniaba ya Rais.


No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages