LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 8, 2023

RAIS DK. MWINYI AONGOZA MAADHIMISHO YA KUMBUKUMBU YA HAYATI SHEIKH ABEID KARUME

CCM Kisiwandui, Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ameongoza maadhimisho ya Kumbukumbu na dua ya kumrehemu Rais wa Kwanza wa Zanzibar Hayati Sheikh Abeid Amani Karume yaliyofanyika Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui, Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.

Maadhimisho hayo yamehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wa Serikali Kitaifa, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, Mabalozi, na viongozi wa Dini na  vyama vya Siasa.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages