LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 8, 2023

MAKAMU WA RAIS DK. MPANGO NA MKEWE WASHIRIKI IBADA YA IJUMAA KUU


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mkewe Mama Mbonimpaye Mpango, wameshiriki pamoja na waumini wengine Ibada ya Ijumaa Kuu katika Parokia ya Mtakatifu  Paulo wa Msalaba, Jimbo Kuu Katoliki Dodoma, Aprili 7, 2023.

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages