LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 15, 2023

NAIBU WAZIRI MBAROUK: MUDA SI MREFU DIASPORA WATAPATIWA HADHI MAALUMU YA URAIA+video

 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mbarouk Nassoro Mbarouk ameliambia bunge jijini Dodoma Aprili 14, 2023, kuwa serikali imo mbioni kuwapatia watanzania wanaoishi nje ya nchi (DIASPORA) hadhi na hati maalumu ya uraia.

AIdha, amesema kuwa Diaspora wamekuwa wakichangia uchumi wa nchi ambapo kwa mwaka uliopita wametuma nchini zaidi yash. trilioni 2.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbarouk akielezea kuhusu uamuzi huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages