LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 15, 2023

MBUNGE LONDO AWAPAMBANIA DIASPORA KUPATIWA HATI YA URAIA+video


 Mbunge wa Mikumi, Denis Londo ameibana serikali bungeni Dodoma Aprili14, 2023, kuwa ni lini watanzania wanaoishi ughaibuni  watapatiwa hadhi na hati ya uraia?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video,  Londo akihoji swali hilo na kujibiwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Mbarouk Nassoro Mbarouk....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages