LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 15, 2023

WAFANYAKAZI VYOMBO VYA HABARI VYA CCM WALIPOFUTARI KWA HISANI YA KATIBU MKUU WA CCM DANIEL CHONGOLO JANA

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Anamringi Macha na Kaimu Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Ramadhani Mkoma wakiongoza kuchukua chakula, wakati wa hafla ya kufuturisha wafanyakazi wa Vyombo vya Habari vya CCM iliyoandaliwa na Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo, Makao Makuu ya Ofisi za UPL, Lumumba Jijini Dar es Salaam, jana.
Picha mbalimbali Wafanyakazi wa vyombo vya Habari vya Chama wakijisevia futari👇











Mhariri wa Habari wa Uhuru Suleiman Jongo akifanya Duwa kabla ya kuanza futru

 Kaimu Mhariri Mtendaji wa UPL Ramadhani Mkoma alipokuwa akizungumza kabla ya  Futru kuanza

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages