LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 11, 2023

MWANYIKA AITAKA SERIKALI IJENGE KIWANDA NJOMBE CHA KUONGEZA THAMANI ZAO LA PARACHICHI+video


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deo Mwanyika ameishauri serikali kuwa na mkakati wa kujenga viwanda vya kuongeza thamani ya zao la Parachichi ambalo kwa kiasi kikubwa linalimwa mkoani

Njombe.Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akitoa ushauri wake huo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages