LATEST HEADLINES👉

Your Ad Spot

Apr 11, 2023

BUTONDO AIHOJI SERIKALI NI LINI MRADI WA UMEME WA JUA UTAANZA KUTEKELEZWA WILAYANI KISHAPU?+video

Mbunge wa Kishapu, Boniface Butondo amehoji bungeni Aprili 11, 2023, kwamba ni lini serikali itaanza kutekeleza mradi wa umeme wa nguvu ya jua katika Kata ya Talaga, wilayani Kishapu.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Butondo akipambania umeme huo wa nguvu ya jua...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203

No comments:

Post a Comment

MAONI (COMMENTS)👇

Post Top Ad

Your Ad Spot

Pages